Jenga Nyumba ya Familia Yako kwa Bati na Tofali Chache!

Jenga kwa kutumia Bati (~60) na Tofali (~2000) chache msingi na kuta!

Tunakuongezea utaalamu wa kumiliki nyumba ya vyumba 3 ya familia!

Kwanini Ujenge Nyumba Yenye Kukuchosha na Mzigo Gharama?

Je, unahitaji uweze kufanikisha ujenzi haraka na uhamie?

Je, unahitaji ujenge kidogo kidogo na vifaa vichache zaidi?

Je, unahitaji ujenge nyumba ya kukutosha ila yenye ubora?

Tumekuandalia Ramani za Nyumba Zenye Kuokoa Vifaa kwa ~30%

Nyumba za familia, vyumba 2 kawaida na 1 chumba master

Vifaa vichache, bati ~60 na tofali ~2000

Zinatumia kiwanja kidogo, kuanzia 15x15m

Jenga upande na uhamie au yote kidogokidogo

Jenga popote Africa, E.A au Mikoa yote

Tunatoa msaada full kupitia mtandao popote

Je, aina gani ya msaada unapata kwetu?
USHAURI UJENZI
Utapata ushauri wa haraka wa ujenzi wako hapahapa mtandaoni
DONDOO MWONGOZO
Pata dondoo na miongozo uweze kufanikisha ujenzi wako vyema
RAMANI UJENZI
Utapata ramani za nyumba hizi ili zikuongoze ktk ujenzi wako
VIKOKOTOO UJENZI
Tumekuandalia vikokotoo ujenzi ili ufanye makisio yako vyema
MAFUNDI CONNECTION
Tunakuunganisha na mafundi ujenzi waliojisajiri mtandaoni humu
MSHIRIKISHE JAMAA
Washirikishe jamaa zako ili nao wapate huduma zetu muhimu
SHIRIKI KUELIMISHA
Shirikiana nasi kuelimisha watu kwa makala na ushauri ujenzi
OFA NA PROMOTIONS
Nufaika na fursa na promotions kutoka ktk makampuni na taasisi

Fanikisha Ujenzi Wako kwa Uhakika na Mikakati Imara!

Je,Wewe ni Msanifu Nyumba Unayependa Kushirikiana Nasi?

Je, umesomea fani ya ujenzi na una hobby ya kusaidia jamiii makazi bora?
Shiriki ktk kuandaa designs za nyumba za gharama nafuu zenye ubunifu!

1.  Jisajiri na kuweka taarifa zako zote za kitaalamu zinazohitajika mtandaoni humu

2.  Baada ya kusajiriwa utaweza andaa na kupakia designs zilizo ktk ubora

3.  Shiriki ktk kujibu maswali na maoni ya wateja pamoja na kuwaelimisha

4.  Utaweza pata gawio lako la mauzo kila kazi zako zinaponunuliwa

Register New Account
Reset Password
Compare items
  • Total (0)
Compare
0

Send this to a friend