Welcome Page

FANIKISHA NYUMBA YA NDOTO YAKO NASI, TUKUJENGEE POPOTE ULIPO TANZANIA !

Chagua Ramani ya Nyumba Ambayo Umeipenda na Inayokidhi Mahitaji na Bajeti Yako Vyema Kisha Fanya Malipo Nasi Tuje Kukujengea Popote Ulipo Tanzania ktk Ubora na Unafuu. Malipo ya Mafundi Wetu Waweza Fanya Kidogo Kidogo na Ujenzi Utafanyika kwa Awamu Kulingana na Malipo Yako. Kwetu Utalipia Ada ya Ufundi Tuu na Vifaa Utanunua Wewe Mwenyewe.

Search
Generic filters
Exact matches only
dressingbed bath dressdressiNyumba Nafuu
Jenga nyumba vyumba 3 zinazotumia bati (~60) na tofali (~2000) chache
Nyumba za Kawaida
Pata nyumba za kawaida zinazofaa kwa familia sehemu nzuri na salama
Nyumba ya Ndoto
Timiza ndoto ya nyumba yako ambayo itakupa utosherevu na hamasa zaidi
Tunakujengea Utimize Ndoto ya Nyumba Yako!
Hamia Nyumba Hizi kwa Sh. 15M au 10M au 7M!

Je, Wewe ni Mtaalamu Makazi Unayetaka Kushirikiana Nasi?

Elimisha na hamasisha watu wengi zaidi kujenga makazi yaliyo bora; kama ni msanifu mtaalamu basi shirikiana nasi ktk huduma!
error: Alert: Content is protected !!

Send this to a friend